Programu ya Taxsee Driver kwa ajili ya maderava

Jinsi ya kusakinisha programu ya Taxsee Driver kwenye iOS


Mamia ya maelfu ya madereva kwenye nchi 16 hupata pesa wakiwa na Taxsee Driver. Jiunge nasi!


  1. Pakua programu.
    Wakati wa uzinduzi wa awali, utaona ujumbe wa "Msanidi wa Programu Asiyeaminika". Kwa hiyo, ili utumie programu, weka mipangilio ya sehemu ya anayeaminika kwanza.
  2. Gusa sehemu ya "Mipangilio" > "Jumla" > "Wasifu" au "Udhibiti wa kifaa".
  3. Chini ya jina la "Mpango wa biashara", chagua "Technologiya" kama msanidi na uthibitishe uaminifu wako.

Iwashe programu, kamilisha oda na upate pesa leo.